Ufafanuzi wa swali la balagha katika Kiswahili

swali la balagha

  • 1

    swali linaloulizwa kwa lengo la kusisitiza jambo fulani na ambalo halihitaji jibu.