Ufafanuzi wa sweta katika Kiswahili

sweta

nominoPlural sweta

  • 1

    vazi zito linalofumwa, agh. kwa nyuzi za sufu kwa ajili ya kujikinga na baridi.

Asili

Kng

Matamshi

sweta

/swɛta/