Ufafanuzi wa taabu katika Kiswahili

taabu, tabu

nominoPlural taabu

  • 1

    hali ya kutokuwa na raha.

  • 2

    adha, usumbufu.

    shabuka, shida, mashaka, dhila, dhiki, madhila, harubu, udhia, kero, kikuku, mbinde

Asili

Kar

Matamshi

taabu

/ta:bu/