Ufafanuzi wa taadabu katika Kiswahili

taadabu

kitenzi sielekezi

  • 1

    shika adabu; fanya heshima.

Asili

Kar

Matamshi

taadabu

/ta:dabu/