Ufafanuzi wa taadhimu katika Kiswahili

taadhimu

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    fanyia heshima.

    tukuza

Asili

Kar

Matamshi

taadhimu

/ta:ðimu/