Ufafanuzi wa taalifu katika Kiswahili

taalifu

kitenzi elekezi

  • 1

    kusanya pamoja habari au makala mbalimbali kuunda kitu k.v. kamusi au jarida.

Asili

Kar

Matamshi

taalifu

/ta:lifu/