Ufafanuzi wa taamali katika Kiswahili

taamali

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    tia akilini.

    fikiri, zingatia, tafakari, waza, dhukuru

Asili

Kar

Matamshi

taamali

/ta:mali/