Ufafanuzi wa taarifa katika Kiswahili

taarifa

nominoPlural taarifa

  • 1

    habari inayotolewa ili kujulisha jambo fulani.

    tangazo, habari, notisi, ujumbe, ripoti

Matamshi

taarifa

/ta:rifa/