Ufafanuzi wa taasisi katika Kiswahili

taasisi

nominoPlural taasisi

  • 1

    kitengo kinachoshughulika na uchunguzi wa fani mbalimbali au kutoa mafunzo maalumu.

Asili

Kar

Matamshi

taasisi

/ta:sisi/