Ufafanuzi wa taathira katika Kiswahili

taathira

nominoPlural taathira

  • 1

    matokeo au alama hasa inayobakia kwa muda k.v. kovu au majengo ya zamani.

  • 2

    kasoro, dosari, doa

  • 3

    hali inayomwambukiza mtu tabia au mazoea yake.

Asili

Kar

Matamshi

taathira

/ta:θira/