Ufafanuzi wa tabakero katika Kiswahili

tabakero

nominoPlural matabakero

  • 1

    kijichupa au kikebe cha kuwekea tumbaku ya unga au ugoro.

Asili

Kre

Matamshi

tabakero

/tabakɛrɔ/