Ufafanuzi wa tabana katika Kiswahili

tabana

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    tamka maneno maalumu ya maombolezi ili kumtakia mgonjwa nafuu katika uganga wa jadi.

Matamshi

tabana

/tabana/