Ufafanuzi msingi wa tabasamu katika Kiswahili

: tabasamu1tabasamu2

tabasamu1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    onyesha uso wa furaha unaoambatana na haja ya kucheka bila kutoa sauti wala kufungua kinywa.

Asili

Kar

Matamshi

tabasamu

/tabasamu/

Ufafanuzi msingi wa tabasamu katika Kiswahili

: tabasamu1tabasamu2

tabasamu2

nominoPlural tabasamu

  • 1

    hali ya kuonyesha uso wa furaha.

Asili

Kar

Matamshi

tabasamu

/tabasamu/