Ufafanuzi wa tabenakulo katika Kiswahili

tabenakulo

nominoPlural tabenakulo

Kidini
  • 1

    Kidini
    hema takatifu linalotumiwa na Mayahudi kufanyia ibada zao.

  • 2

    Kidini
    kijisanduku kinachotumiwa kuwekea hostia kanisani.

Asili

Kng

Matamshi

tabenakulo

/tabɛnakulɔ/