Ufafanuzi wa tabiri katika Kiswahili

tabiri

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    eleza au toa habari ya mambo yatakayotokea kwa kutumia ujuzi au kwa kutafsiri ndoto.

    agua, tazamia, angalilia, abiri

Asili

Kar

Matamshi

tabiri

/tabiri/