Ufafanuzi wa tabua katika Kiswahili

tabua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    fanya kitu k.v. mkonge au kungu la ndizi kuwa laini au kuwa na nyuzinyuzi kwa kugongagonga.

Matamshi

tabua

/tabuwa/