Ufafanuzi wa taburu katika Kiswahili

taburu

nominoPlural taburu

  • 1

    mchezo wa gwaride la kiaskari.

    kwata

  • 2

    kwata ya ziada anayopewa askari baada ya kufanya makosa.

Asili

Kar

Matamshi

taburu

/taburu/