Ufafanuzi wa tabwatabwa katika Kiswahili

tabwatabwa

kivumishi

  • 1

    -enye kuwa na majimaji na laini, hasa chakula.

    laini, teketeke, tepwetepwe, tepetepe, rovyo

Matamshi

tabwatabwa

/tabwatabwa/