Ufafanuzi msingi wa tadi katika Kiswahili

: tadi1tadi2

tadi1

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya jeuri au ufidhuli kupita kiasi.

    ‘Akutadiye nawe mtadi’

Asili

Kar

Matamshi

tadi

/tadi/

Ufafanuzi msingi wa tadi katika Kiswahili

: tadi1tadi2

tadi2

nomino

  • 1

    hali ya kufanya mtu aonekane mnyonge.

    ujeuri, ufidhuli, ufyosi, usafihi, usodai, uchokozi, kiburi

Matamshi

tadi

/tadi/