Ufafanuzi wa tafadhali! katika Kiswahili

tafadhali!

kiingizi

  • 1

    neno la heshima la kumwomba mtu afanye jambo kwa hisani yake.

    ‘Tafadhali nisaidie!’

Asili

Kar

Matamshi

tafadhali!

/tafaðali/