Ufafanuzi wa tafakuri katika Kiswahili

tafakuri

nominoPlural tafakuri

  • 1

    fikira nzito juu ya jambo fulani.

    zingatio, taamuli

Asili

Kar

Matamshi

tafakuri

/tafakuri/