Ufafanuzi wa tafrija katika Kiswahili

tafrija

nominoPlural tafrija

  • 1

    shughuli maalumu inayofanywa kusherehekea au kufurahia jambo au tukio fulani.

    sherehe, hafla

Asili

Kar

Matamshi

tafrija

/tafriʄa/