Ufafanuzi msingi wa tafsiri katika Kiswahili

: tafsiri1tafsiri2

tafsiri1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    eleza maana ya maneno au matini yaliyoandikwa kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine.

    fasiri, tarjumi

Asili

Kar

Matamshi

tafsiri

/tafsiri/

Ufafanuzi msingi wa tafsiri katika Kiswahili

: tafsiri1tafsiri2

tafsiri2

nominoPlural tafsiri

  • 1

    matini au maelezo yaliyotolewa kutoka lugha moja hadi lugha nyingine.

    tarjumi

Asili

Kar

Matamshi

tafsiri

/tafsiri/