Ufafanuzi wa tafu katika Kiswahili

tafu

nomino

  • 1

    mkusanyiko wa nyuzi za kano ndani ya mwili wa baadhi ya viumbe unaowawezesha kutembea.

    msuli

Matamshi

tafu

/tafu/