Ufafanuzi wa tafuna katika Kiswahili

tafuna

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    sagasaga kwa meno.

Matamshi

tafuna

/tafuna/