Ufafanuzi wa tafuta katika Kiswahili

tafuta

kitenzi elekezi

  • 1

    angaliaangalia ili kuona au kupata kitu unachotaka.

  • 2

    zengea, dabiri.

Matamshi

tafuta

/tafuta/