Ufafanuzi msingi wa taga katika Kiswahili

: taga1taga2

taga1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  toa yai kutoka katika kiloaka k.v. wafanyavyo kuku, ndege au vyura.

 • 2

  ta

Matamshi

taga

/taga/

Ufafanuzi msingi wa taga katika Kiswahili

: taga1taga2

taga2

nominoPlural mataga

 • 1

  tawi lenye panda zilizonyooka, agh. hukatwa na kutumiwa kwa kushikilia chungu wakati wa kusonga ugali.

  boi

Matamshi

taga

/taga/