Ufafanuzi wa taghayari katika Kiswahili

taghayari

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    badilika hali, agh. kwa kuharibika au kuoza.

Matamshi

taghayari

/taɚajari/