Ufafanuzi wa tahabibu katika Kiswahili

tahabibu

nomino

  • 1

    kasi ya kitu k.v. ya upanga unapotikiswa.

Asili

Kar

Matamshi

tahabibu

/tahabibu/