Ufafanuzi msingi wa tahadhari katika Kiswahili

: tahadhari1tahadhari2

tahadhari1

kitenzi sielekezi

  • 1

    jaribu kuepukana na jambo, hasa la ubaya au la hatari.

  • 2

    kuwa macho.

    abiri, busuri, jali, angalia, tazama

Asili

Kar

Matamshi

tahadhari

/tahaĆ°ari/

Ufafanuzi msingi wa tahadhari katika Kiswahili

: tahadhari1tahadhari2

tahadhari2

nomino

Asili

Kar

Matamshi

tahadhari

/tahaĆ°ari/