Ufafanuzi wa tahajia katika Kiswahili

tahajia

nominoPlural tahajia

  • 1

    uwakilishaji wa sauti kwa herufi katika maandishi kufuatana na mwendelezo wa maneno uliokubalika.

Asili

Kar

Matamshi

tahajia

/tahaʄija/