Ufafanuzi wa tahania katika Kiswahili

tahania

nominoPlural tahania

  • 1

    pongezi zinazotolewa kwa matendo mazuri yaliyotokea au yaliyotendwa.

    ‘Mkono wa tahania’

Asili

Kar

Matamshi

tahania

/tahanija/