Ufafanuzi wa taharaki katika Kiswahili

taharaki

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kosa kuwa na hali ya utulivu au umakini; ingiwa na wasiwasi.

    babaika

Asili

Kar

Matamshi

taharaki

/taharaki/