Ufafanuzi wa tahariri katika Kiswahili

tahariri, tahriri

nomino

  • 1

    maelezo au maoni yanayotolewa na mhariri wa gazeti, jarida au kitabu juu ya jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

tahariri

/tahariri/