Ufafanuzi msingi wa taharuki katika Kiswahili

: taharuki1taharuki2

taharuki1

nominoPlural taharuki

  • 1

    hali ya kutokuwa na utulivu na umakini.

    wasiwasi, mbabaiko

Asili

Kar

Matamshi

taharuki

/taharuki/

Ufafanuzi msingi wa taharuki katika Kiswahili

: taharuki1taharuki2

taharuki2

nominoPlural taharuki

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    hali ya kusubiri, kusisimka na kuwa na hamu kutaka kujua kitakachotokea baadaye na jinsi ya kutokea kwake katika kazi za fasihi.

Asili

Kar

Matamshi

taharuki

/taharuki/