Ufafanuzi wa tahayuri katika Kiswahili

tahayuri

nomino

  • 1

    hali ya kuona haya baada ya kutenda au kufikwa na jambo la fedheha.

Asili

Kar

Matamshi

tahayuri

/tahayuri/