Ufafanuzi wa tahini katika Kiswahili

tahini

kitenzi elekezi

  • 1

    pima uwezo wa mtu katika kazi, elimu au fani.

  • 2

    -pa mtihani.

Asili

Kar

Matamshi

tahini

/tahini/