Ufafanuzi wa tahiyatu katika Kiswahili

tahiyatu

nominoPlural tahiyatu

Kidini
 • 1

  Kidini
  kisomo kinachosomwa katika mkao wa rakaa ya pili na ya mwisho katika sala ya Uislamu.

  ‘Soma tahiyatu’

 • 2

  Kidini
  mkao maalumu katika sala ambapo mguu mmoja hupitishwa chini ya mguu mwingine.

Asili

Kar

Matamshi

tahiyatu

/tahijatu/