Ufafanuzi wa taifa katika Kiswahili

taifa

nominoPlural mataifa

  • 1

    jamii ya watu wanaoishi katika nchi moja na wanaounganika kutokana na matukio ya kihistoria; mfumo wa uchumi na utamaduni chini ya serikali moja.

    dola

Asili

Kar

Matamshi

taifa

/taIfa/