Ufafanuzi wa taire! katika Kiswahili

taire!

kiingizi

  • 1

    tamko linalotumiwa na mganga kilingeni ili kuwafanya watu wamsikilize.

  • 2

    tamko la kuonyesha kukubaliana na maneno ya mganga katika ramli.

Asili

Kar

Matamshi

taire!

/taIrɛ/