Ufafanuzi wa tajirika katika Kiswahili

tajirika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    pata mali nyingi; kuwa tajiri.

Matamshi

tajirika

/taʄirika/