Ufafanuzi wa takabali katika Kiswahili

takabali

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~iwa

Kidini
  • 1

    Kidini
    (hutumika kwa Mwenyezi Mungu tu) pokea au kubali k.v. dua au ombi.

    ‘Dua yako imetakabaliwa’

Asili

Kar

Matamshi

takabali

/takabali/