nominoPlural takataka
- 1
vitu ambavyo havifai kwa matumizi na hupaswa kutupwa, agh. kwa sababu ya kuchakaa au ubovu.
makorokoro, uchafu, ukoo - 2
Matamshi
takataka
/takataka/nominoPlural takataka