Ufafanuzi wa takdiri katika Kiswahili

takdiri

nominoPlural takdiri

  • 1

    Kidini
    uwezo wa Mwenyezi Mungu juu ya matukio ya mambo kwa viumbe.

  • 2

    mambo yaliyokwishaamuliwa na Mwenyezi Mungu.

    majaaliwa, kadari

Asili

Kar

Matamshi

takdiri

/takdiri/