Ufafanuzi wa takhmisa katika Kiswahili

takhmisa

nominoPlural takhmisa

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    shairi la mishororo mitano kila ubeti.

Asili

Kar

Matamshi

takhmisa

/taxmisa/