Ufafanuzi wa taki katika Kiswahili

taki

nomino

  • 1

    masazo ya nazi iliyokunwa na kukamuliwa.

    chicha

Matamshi

taki

/taki/