Ufafanuzi wa takribani katika Kiswahili

takribani, takriban

kielezi

  • 1

    neno linaloonesha ukaribiano wa vitu kwa hali au idadi.

    ‘Ilikuwa takribani saa tatu’
    ‘Kilo moja takribani ratili mbili’
    karibu, karibia

Asili

Kar

Matamshi

takribani

/takribani/