Ufafanuzi msingi wa takriri katika Kiswahili

: takriri1takriri2

takriri1

nomino

 • 1

  tendo la kusema jambo moja mara nyingi kwa namna tofauti.

Matamshi

takriri

/takriri/

Ufafanuzi msingi wa takriri katika Kiswahili

: takriri1takriri2

takriri2

nomino

 • 1

  Fasihi
  umbo linalorudiwa katika kuliandika ili kupata umbo moja.

 • 2

  Fasihi
  tamathali ya usemi ya kutilia mkazo au kusisitiza jambo makusudi au kwa nia fulani kwa kurudia mara kwa mara irabu, silabi, sauti, neno, maneno au sentensi katika kazi ya fasihi.

  uradidi

 • 3

  Fasihi

  kibwagizo, kipokeo, kiitikio, mkarara

Asili

Kar