Ufafanuzi wa talaka katika Kiswahili

talaka

nominoPlural talaka

  • 1

    idhini ya kisheria ya mume na mke kuachana.

Asili

Kar

Matamshi

talaka

/talaka/