Ufafanuzi wa talkini katika Kiswahili

talkini

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    kisomo anachosomewa maiti kaburini mara tu baada ya kuzikwa kwa mujibu wa taratibu za baadhi ya madhehebu ya Uislamu.

Asili

Kar

Matamshi

talkini

/talkini/